Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
That which is crooked (ccm) cannot be made straight: and that which is wanting cannot be numbered.
 
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.

Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Niko njiani, Nina chupa ya maji tu , na nimeayaombea Saa nane usiku, Nina imani Sasa yamekua na nguvu kuliko yale ya vita vya majimaji, twenzetu wapenda haki, Mbowe sio Gaidi
 
Niko njiani, Nina chupa ya maji tu , na nimeayaombea Saa nane usiku, Nina imani Sasa yamekua na nguvu kuliko yale ya vita vya majimaji ,twenzetu wapenda haki, Mbowe sio Gaidi

Nimecheka sana haki🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mdude hajasamehewa ila mahakama haikuona ushahidi wa kumtia hatiani so alishinda kesi alokua amebambikiwa.mnapotosha sana
nHivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
 
Acha Mbwembwe kamanda ingia Barabarani.

Nilitarajia kusikia baadhi ya Barabara jijini Dar es Salaam hazipitiki.
Nimeona polisi wengi sana city centre yote, nilishasahau leo ndio siku ya kesi.
 
An absolutely apt response! Very good.
 
Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Acha kutisha watu wewe nchi sio ya kwako na kudai katiba sio uhaini .
 
Siasa za chadema naziona mitandaoni sana.

Makamu mwenyekiti anatoa statement mtandaoni kuwataka wananchi waandamane, jibu akalipata.

Haya mambo haya.
 
Tena polisi kuwe makini sana kuna makada wa chadema ambao ni jwtz nimewaona aisee
 
Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
Hata na wewe ni mjingamjinga tu Mana unachoandika ni Cha kijinga,kesi za kipuuzi ndo Mana nchi Haina hata MAENDELEO Mana viongozi wenu ni waonevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…