Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuandamane!Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Lilichongwa la jiwe sembuse yetu?Mapema sana mkuu, ila twende kazi, muwe makini msije mkawaongezea kazi wachonga majeneza biashara yao imekua nzuri baada ya covid 19
Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Sishangai kusikia"(tumekosa usafiri wa kumpeleka mahakamani hivyo kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo)Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Mama hajui anachokifanya kupitia hao vibaraka wake.Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Wa shetani waweza tu kushinda pambano (BATTLE), lakini KAMWE Mungu wa haki hawezi kuwaruhusu kushinda vita(WAR) hii.Mungu hujawahi kuabika nakuomba usimame daima
Ujumbe umekufikiaKiongozi, Mdude alisamehewa na nani na alisamehewa kutoka katika hatia ipi? Kwa lugha hii, unamaanisha kwamba Mbowe anashikiliwa kama kisasi kwa maneno ya mdude? Utekelezaji wa azma hii ni kifungu namba ngapi cha katiba...
BarikiwaHalafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
Bora kafanye interview na babra... Ajibu tuhuma za manala.Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi....
Ujumbe, gani kwamba ninyi manafiki ni majuha, mipumbavu ya kupuuzwa? Kwamba hata mkitwangwa nanagano bado ngano zitatoka maganda lakini upumbavu wenu hauwatoki? Kwa hweri mama pumbavu!.Ujumbe umekufikia