Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Tanzania mupya ya Mama, " karibu Tanzania ujionee Kiongozi Gaidi wa kambi ya upinzani" Infact tuna rebrand Tz ya awamu ya 6 ....Balozi Muramura alisikika.
 
Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
 
Polisi wamejiandaa kwa maonesho ya magari ya kuwasha ili wawajibu Amnesty International kwamba huo ndio ushahidi wao kuwa Mbowe ni gaidi.
 
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.

Tanzania is a sovereign coutry.

ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz.

Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.

Demokrasia sio kuvunja amani.
 
polisi wanataka kuaminisha watu wenye akili zetu kwamba mbowe ni sawa na janja weed, boko haramu,alqaida nk...
 
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.

Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Sishangai kusikia"(tumekosa usafiri wa kumpeleka mahakamani hivyo kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo)
 
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.

Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Mama hajui anachokifanya kupitia hao vibaraka wake.
 
Kiongozi, Mdude alisamehewa na nani na alisamehewa kutoka katika hatia ipi? Kwa lugha hii, unamaanisha kwamba Mbowe anashikiliwa kama kisasi kwa maneno ya mdude? Utekelezaji wa azma hii ni kifungu namba ngapi cha katiba...
Ujumbe umekufikia
 
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.

Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi....
Bora kafanye interview na babra... Ajibu tuhuma za manala.
 
Hitaji la katiba mpya ni muhimu kwa kila Mtanzania
 
Ujumbe umekufikia
Ujumbe, gani kwamba ninyi manafiki ni majuha, mipumbavu ya kupuuzwa? Kwamba hata mkitwangwa nanagano bado ngano zitatoka maganda lakini upumbavu wenu hauwatoki? Kwa hweri mama pumbavu!.
 
Back
Top Bottom