Jiwe la kudumu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 301
- 245
Dola laki tatu faini kiduchu. Ndio maana mahakimu wa kisutu ni matajiriYani kosa hilo ndio kosa lililowataaabisha hivyo duuuuh, hatari saaana
Sent using Jamii Forums mobile app
We need money,very much....Wait....yaani walitakatisha zaidi ya dola laki 3.
Wamepatikana na hatia.
Na adhabu ni ama walipe faini ya shilingi laki tano au waende jela mwaka mmoja!!
This is some joke business...
Kuna kitu hakipo sawa hapa au tuna vichwa vibovu. Pia jiulize wamesota ndani kwa muda gani? Au wamepewa special teatment?Wait....yaani walitakatisha zaidi ya dola laki 3.
Wamepatikana na hatia.
Na adhabu ni ama walipe faini ya shilingi laki tano au waende jela mwaka mmoja!!
This is some joke business...
Hapa siyo kosa dogo Bali sheria zetu zina kasoroFaini laki tano?? Kumbe kakosa kadogo kabisa kamewaweka ndani muda wote huo??
Hatari sana hii
Naomba muelewe haki imetendeka na umeona watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad. Je, mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado anawadai TFF pesa nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise atawapeleka MahakamaniHukumu gani imetolewa. mbona unaharaka hivyo, toa taarifa kamili
Hawa ndugu walishtakiwa na makosa tofauti 28. Kila kosa lina adhabu yake. Ni kazi ya jamhuri kuthibitisha pasipo kuacha shaka kuwa washtakiwa walitenda makosa. Katika makosa makubwa 27 Serikali imeshindwa kufanya hivo na wamefanikiwa kwene hilo kosa dogo la kughushiHuu ni uhuni tu. Mtu anatakiwa kulipa faini ya laki tano baada ya kukutwa na kosa la utakatishaji fedha? Au Mimi ndio sielewi hapa?
Tiba
Uandishi wako mbovu sana, samahani kama nimekukwazaNaomba muelewe haki imetendeka na umeona a watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad je mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado hanawadai TFF pesa
nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise hatawapeleka mahakamani
kabisa yaani huu ni utani....japo wamekaa ndani kama miaka 2.5,,,,,walizotakatisha watarudisha au?FIFA waliwatia hatiani baada ya kufanya uchunguzi wao aidha kuna udhaifu kwa wanasheria wa serikali au mahamakama ama wote huu ni utani
Mzee baba nimependa mwandiko wakoNaomba muelewe haki imetendeka na umeona a watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad je mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado hanawadai TFF pesa
nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise hatawapeleka mahakamani
Yani kosa hilo ndio kosa lililowataaabisha hivyo duuuuh, hatari saaana
Sent using Jamii Forums mobile app