Bukinabuza
Senior Member
- Jun 17, 2008
- 105
- 29
Nilishawahi kusema hapo zamani kuwa hata siku moja kuwa sio jambo zuri kabisa kusimama juu ya kaburi ya mtu aliyekufa na kucheza ngoma as if wewe siku moja hutakufa nitafurahi siku moja kwenye hii jamii forum watu watakuwa wana heshimu maamuzi ya maharaja na kuhacha kubeza kubeza. This man is free now and because is very intelligent man I hope atasaidia Taifa kwa namna nyingine.Uandishi wako mbovu sana, samahani kama nimekukwaza