Nilishawahi kusema hapo zamani kuwa hata siku moja kuwa sio jambo zuri kabisa kusimama juu ya kaburi ya mtu aliyekufa na kucheza ngoma as if wewe siku moja hutakufa nitafurahi siku moja kwenye hii jamii forum watu watakuwa wana heshimu maamuzi ya maharaja na kuhacha kubeza kubeza. This man is free now and because is very intelligent man I hope atasaidia Taifa kwa namna nyingine.
Kaambiwa alipe 500,000 fine ya kosa kutakatisha $300,000
Hivi mnajua huyo malinzi ametumia kiasi kwenye kuendesha kesi yake?
Ukiwa na kesi na uko lupango we sikiaaa tu
Ila siku yakikukuta ndiyo utajuaaa!!!