KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

kwa kuwa shauri limetupiliwa mbali tu,basi Hamisa bado ana nafasi ya kurudisha tena shauri hilo iwapo kasoro zilizojitokeza ktk kesi aliyoiwasilisha awali zitarekebishwa.

Na msikute baada ya siku kadhaa mkasikia karudi tena mahakamani...labda aamue kusamehe tu kuhofia aibu/vichambo vya wadau nguli wa social media..SHILAWADU in particular!
 
Hamisa angefanya siri angemfaidi sana diamond angetoa pesa nyingi ili aendelee kutunza siri yake
 
huyo mama mwenye mtoto asinyanyaswe kisa anapambana na mtu mwenye uwezo wa kifedha.
fedha za matunzo ya mtoto anazo zidai ni haki na nilazima atalipwa tu sio hiari, watetezi wa haki za wanawake huu ndio wakati wa kusema na kutetea unyanyasaji na udhalalishaji wa wanawake.
 
Hadi sasa Hakuna kiwango halisi fixed kinachokidhi. Ikifuatwa sheria huyo mwanamke atakuwa analipwa senti ndo ataiujua sheria ilivyo noma.
 
Matunzo ya mil 5 kwa mwezi, huyo ni Mtoto au faru Abdul?
 
Hahahaha Da Mange nadhani anakulaga majani maana akili zake anazijuaga mwenyewe
Yy alishindwa halafu anamshauri mwenzake khaaaa
Kama sio wendawazimu n nn basi
 
Hahahaha Da Mange nadhani anakulaga majani maana akili zake anazijuaga mwenyewe
Yy alishindwa halafu anamshauri mwenzake khaaaa
Kama sio wendawazimu n nn basi
Eti documents, mtu kapigwa pmb years kwa kificho hizo documents anajua hata zilipo teh vichekesho vya da mange
 
Huyo Malaya alitaka mtoto alipwe pesa ya kuushinda mshahara wa DC....!!!
 
hahhahahahaha eti Faru Abdul...
Wamerudisha tena shauri mahakamani baada ya kufanya marekebisho...
Hamisa ana danganywa kuwa mahamakama inaweza kukubali alipwe hiyo 5M...hahahaha
Anachekesha huyo atafute tu mtu mwingine wa kumpa mimba kwa diamond mambo hayaeleweki
 

Sheria wa matunzo ya mtoto ya 1980s , matunzo ya mtoto sh 300 kwa mwezi na hajafanyiwa marekebisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…