KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

Mabingwa wa kushauri wanawake masuala ya mahusiano uwa ni wale walioshindwa ya kwao hasa ndoa zao zilivunjika.
Chunguza utaona
kweli kabisa...
Mange na hamisa wanafana
Wote wamezaa na wanaume tofauti, wote wanategemea child support, cha ajabu da mange ndio mshauri wa hamisa wakati mwenyewe yake hayawezi zaidi ya kuishia kuwatukana hao baby dadies wake
 
Hahahaha word!
Siku moja nililalamika hapa kuhusu mama zenu ambavyo baadala ya kuwajenga wanawapoteza hasa likija suala la mume/mpenzi wako. Hayo mafollower watasaidia nini miaka 20 ijayo. Hapo ni kuishi leo baadala ya kufikiri miaka 40 ijayo yake na mtoto. Kula na kipofu ni jambo la muhimu kwenu michepuko yetu. Ona zari anavyochanga karata yake. Umri na uzoefu muhimu katika maisha ndo maana binti mdogo 20 years huwezi kupambana na shangingi la miaka 50 kijana akiwa 20 years
 
Huyo da mange bana ishu za watu anajifanya yupo nazo deep, nilicheka anavomwambia hamisa eti akusanye documents za show za diamond, akusanye documents za kipato , ushahidi wa bank apeleke mahakamani .

Wakati yeye mzungu alivoenda mahakamani kupunguza child support kalikua kadogo kalihaha kanauliza huko instagram guys nifanye nini ili nitengeneze kipato mzungu kasema child support ni kubwa nami natakiwa nichangie, ndo kakapata idea ya kufungua app yake ambayo sijui kama bado ipo.

Sasa nae kwanini asingekusanya documents za mzungu apeleke mahakamani adai hela ndefu kwa mzungu, ila ndo kwanza ikapunguzwa da mange ni fyatu
Nasikia Hamisa ameshauriwa acheze biko
 
Mi nakwambia kipindi Wema karudiana na Domo nilikuwa naishi Sinza mori pale karibu na Meeda, Domo alikuwa anapanga mitaa hiyo..

Sasa mama ubaya akilewa anasimulia jinsi Domo bahili a.k.a mchumi [emoji23] hatoi hata mia labda kugegedwa tu, akanyoa hadi kipara, kuvaa madera nahisi unakumbuka?!

Huyo Hamisa namuonea huruma kushindana na Zari, kuna mtu wasafi hapa kitaa karopoka kuwa zari huwa anajihudumia kwa asilimia kubwa, na hata hii safari ya UK kajilipia nauli[emoji144] [emoji144]

Sasa bibie Hamisa kwenda court kutaka ulipwe 5m na Domo...akili itakukaa sawa mwaka huu
Acha mambo ya kusikia dada,umpe hela yako wema akaitapanye?
Si ni wema aliepewa zawadi ya murano wakati wa birthday yake?au iliokotwa?
Si ni hamisa,kudungwa mimba tu kanunuliwa Rav4 ya milioni 20,au iliokotwa?
Diamond alishasema akifika anahonga hata milioni 30,endeleeni kujipa moyo kuwa zari kajigharamia safari ya UK
 
Ubahili wake upo kwenye nini labda
Penny alinunuliwa gari
Wema alinunuliwa gari
Hamisa kanunuliwa gari
Watoto wa zari wamenunuliwa Nyumba south
Huo ubahili ni upi sasa
Hizi habari wanazitengeza kina Hamisa,sasa ndio wataona ubahili wa diamond baada ya majizo kuchukua mtoto wake
 
Acha mambo ya kusikia dada,umpe hela yako wema akaitapanye?
Si ni wema aliepewa zawadi ya murano wakati wa birthday yake?au iliokotwa?
Si ni hamisa,kudungwa mimba tu kanunuliwa Rav4 ya milioni 20,au iliokotwa?
Diamond alishasema akifika anahonga hata milioni 30,endeleeni kujipa moyo kuwa zari kajigharamia safari ya UK
Hata mi nashangaa huo ubahili ni upi wakati madem zake wanapewa Magari
 
Naona Team kiba walivyokunja sura kwa kusikia taarifa hii..
Bado na wale wanaotaka Mil300
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ati bambino!!!
 
Back
Top Bottom