Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Ohoo hapo sawaHapo kilichopo mtoto ataendelee kuwa na mama huku Mond akiendelea na huduma ambazo yeye anazimudu. Na siyo zile milioni 5 kwa mwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo hapo sawaHapo kilichopo mtoto ataendelee kuwa na mama huku Mond akiendelea na huduma ambazo yeye anazimudu. Na siyo zile milioni 5 kwa mwezi.
Anasikiliza sana kelele za watu sasa atajifunza kama mambo ya familia yanahitaji busara zaidiMwanamitindo Hamisa Mobeto amekwaa kisiki mbele ya Diamond Platnumz baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upende wa Watoto kutupilia mbali kesi aliyofunguliwa Mwanamuziki huyo juu ya matunzo ya mtoto Prince Abdul.![]()
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Novemba 10, 2017 na Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande hizo mbili husika.
Diamond aliwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo iliyofunguliwa na Mobeto akidai kuwa kesi hiyo imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi Hoja ambayo ilipingwa na Mobeto.
Mobeto alifungua kesi hiyo mahakamani hapo, pamoja na mambo mengine anaiomba matunzo ya mtoto waliozoa na msanii Diamond.
Mobeto anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto ya kila mwezi na alifungua kesi hiyo kupitia mawakili wake Abdallah I.yana na Walter Godluck kutoka kampuni ya uwakili Century Attorneys.
Kupitia hati hiyo ya madai, Mobeto anaomba Diamond amuombe msamaha kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.
Diamond aliwasilisha hati ya majibu hayo kinzani akipinga maombi hayo ya Mobeto akidai gharama anazodai kulipwa kwa mwezi ya Sh 5 milioni kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.
Kweli au ni tetesihamisa ndo kaondoa kesi baada ya mond kuomba warudiane kama zamani
Kama namuona akiamka ataaandika gazeti refuuuuu huyoCc mange
Ataendelea kupokea kile kile anacho pewa na Diamond maana mahakama imeona hakuna case ya kujibu..Kwahiyo mkuu mahakama imesemaje sasa kwamba alipe kidogo au asilipe kabisa hata mia
hahaaaa mi mnanichekesha mnavyosema Da Mange [emoji3] [emoji3] [emoji3]Habari mbaya sana kwa da'Mange hii.
200 itampendezamilion 5 mchezo... ashukuru hata hiyo laki 2 anapewa
Please hide my ID.hahaaaa mi mnanichekesha mnavyosema Da Mange [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mi nakwambia kipindi Wema karudiana na Domo nilikuwa naishi Sinza mori pale karibu na Meeda, Domo alikuwa anapanga mitaa hiyo..
Sasa mama ubaya akilewa anasimulia jinsi Domo bahili a.k.a mchumi [emoji23] hatoi hata mia labda kugegedwa tu, akanyoa hadi kipara, kuvaa madera nahisi unakumbuka?!
Huyo Hamisa namuonea huruma kushindana na Zari, kuna mtu wasafi hapa kitaa karopoka kuwa zari huwa anajihudumia kwa asilimia kubwa, na hata hii safari ya UK kajilipia nauli[emoji144] [emoji144]
Sasa bibie Hamisa kwenda court kutaka ulipwe 5m na Domo...akili itakukaa sawa mwaka huu
Teh Teh....ngoja nitumie style hii ya wale majaa wa face book.....
Kumuona Da Mange akitokwa jasho baada ya kupata habari hii gonga like.....
hahahahahaha
Zari mjanja yule...hata Domo akimnyima cash anajua jinsi ya kumkamua!Tatizo la hamisa anapenda show off na kuwarusha wabaya wake,maisha ya mashindano mitandaon jumlisha support ya uongo na kweli toka kwa mange ndo maana hawez ona hasara maana hapo anategemea zile photoshoot kumlindia heshima ya mtandaoni kuliko njaa ya maisha halisi
Kwa zari bora ana kaurithi ka ivan na anavyopenda bata sasa lazima ajichotee ka akiba kake aendelee kulinda ka cheo ka ubosslady. Mujini pagumu acha tu watu waishi kwa maigizo
Da mange kasema hataiongelea ishu yao tena haaaaa haaaMange kuepuka aibu keshajitungia story zamaan. Na misukule yake imeshangilia balaa utadhan inafaidika kwenye hio child support
utasikiaMange kuepuka aibu keshajitungia story zamaan. Na misukule yake imeshangilia balaa utadhan inafaidika kwenye hio child support
Yule hakimu ni jembe mama makini. Huwa anachukia mtu kufanya mtoto kama kinga na njia ya kutekeleza matamanio yako. Uamuzi huu nimeupenda ingawa kosa la mabeto ambalo akinamama wengi wanalo hawaangalii future ya mtoto. Imagine zari ndiyo kwa sasa anamiliki Diamond why for heaven sake uoneshe picha upo katika kitanda cha zari na hata mtandio wake na kesho ampende mwanao? Je hujui sie k unayoifakamia ni bora kuliko Mtoto? Wengine mjifunze ukizaa na tuliooa jaribu kuwa mnafiki kwa bimkubwa na si ajabu ukampinduaMange kuepuka aibu keshajitungia story zamaan. Na misukule yake imeshangilia balaa utadhan inafaidika kwenye hio child support
Hizi zitakuwa story, angekuwa bahir hivyo asingekuwa anasafiri na msururu wa watu wote wale maana inamcost.Mi nakwambia kipindi Wema karudiana na Domo nilikuwa naishi Sinza mori pale karibu na Meeda, Domo alikuwa anapanga mitaa hiyo..
Sasa mama ubaya akilewa anasimulia jinsi Domo bahili a.k.a mchumi [emoji23] hatoi hata mia labda kugegedwa tu, akanyoa hadi kipara, kuvaa madera nahisi unakumbuka?!
Huyo Hamisa namuonea huruma kushindana na Zari, kuna mtu wasafi hapa kitaa karopoka kuwa zari huwa anajihudumia kwa asilimia kubwa, na hata hii safari ya UK kajilipia nauli[emoji144] [emoji144]
Sasa bibie Hamisa kwenda court kutaka ulipwe 5m na Domo...akili itakukaa sawa mwaka huu
Hajasema Dab ndiye kasababisha?Da mange kasema hataiongelea ishu yao tena haaaaa haaa