Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona iko wazi tu mkuu. Hebu rejea tena utaelewa kuwa mond amepangua milioni 5 atamtuliza na zile zile za kawaida.Bado sijaelewa vizuri ntapita tena baadaye..
Exactly Mkuu... Na katika hili ni dhahir shahiri kulikuwa na watu nyuma yake.Mitandao na kutojielewa kumemponza. Angekaa kimya angeendelea kusosomola taratibu kwa raha zake. Tena angeweza kumpata Mondi akawa wake milelele. Domo limemponza.
Cc mangeNaona mshauri wake wa mtandaoni kaangusha post ya kutuliza presha za team wema na hamisa. Huyu binti maisha ya mtandaoni anaonekana shujaa kwa baadhi ya watu ila halisi mateso tupu.
Next ndo inayofuata.What next???
Aendelee kuuza NYAPU.What next???
Kwani lazima impost?Hivi kwa nn familia haimpost huyu mtoto? Kwa nn mtoto akulie kwny chuki... Kati ya upande wa diamond na hamisa? Mi naona wangekaa chin wajadl kifamilia... Na diamond anashindwa kusolve tatzo dogo kama hili mmmmh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa c uwe unaandaa mashamba saivSitaki kusoma JF, nataka kuwepo ktk vizimba vya mahakamani, nikirudi huku kijijini niwasimulie!
Mi nakwambia kipindi Wema karudiana na Domo nilikuwa naishi Sinza mori pale karibu na Meeda, Domo alikuwa anapanga mitaa hiyo..Naona mshauri wake wa mtandaoni kaangusha post ya kutuliza presha za team wema na hamisa. Huyu binti maisha ya mtandaoni anaonekana shujaa kwa baadhi ya watu ila halisi mateso tupu.