KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

Hivi kwa nn familia haimpost huyu mtoto? Kwa nn mtoto akulie kwny chuki... Kati ya upande wa diamond na hamisa? Mi naona wangekaa chin wajadl kifamilia... Na diamond anashindwa kusolve tatzo dogo kama hili mmmmh
 
b584b4a280ef744921a90ef536e07540.jpg
Mwanamitindo Hamisa Mobeto amekwaa kisiki mbele ya Diamond Platnumz baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upende wa Watoto kutupilia mbali kesi aliyofunguliwa Mwanamuziki huyo juu ya matunzo ya mtoto Prince Abdul.

Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Novemba 10, 2017 na Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande hizo mbili husika.

Diamond aliwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo iliyofunguliwa na Mobeto akidai kuwa kesi hiyo imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi Hoja ambayo ilipingwa na Mobeto.

Mobeto alifungua kesi hiyo mahakamani hapo, pamoja na mambo mengine anaiomba matunzo ya mtoto waliozoa na msanii Diamond.

Mobeto anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto ya kila mwezi na alifungua kesi hiyo kupitia mawakili wake Abdallah I.yana na Walter Godluck kutoka kampuni ya uwakili Century Attorneys.

Kupitia hati hiyo ya madai, Mobeto anaomba Diamond amuombe msamaha kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.

Diamond aliwasilisha hati ya majibu hayo kinzani akipinga maombi hayo ya Mobeto akidai gharama anazodai kulipwa kwa mwezi ya Sh 5 milioni kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.
 
Hivi kwa nn familia haimpost huyu mtoto? Kwa nn mtoto akulie kwny chuki... Kati ya upande wa diamond na hamisa? Mi naona wangekaa chin wajadl kifamilia... Na diamond anashindwa kusolve tatzo dogo kama hili mmmmh
Diamond alisha limaliza ili swala lakini Hamisa akashauriwa na mshauri wa chadema kuwa aende mahakamani awe anapewa 5m hahahaha...
Msije mkamsingizia bashite tena,,,,
 
Teh Teh case inaondolewa siku ya maamuzi? hahahaha hapo hakuna case ya msingi ataendelea kupewa zile zile laki mbili........hahahahaha
ALIAMBIWA HAO MAWAKILI WATATAFUBA HELA YAKE BURE
ANALETA UBISHI.




BADO MSONDO NGOMA NAO WATALEWA HELA BURE TU KWA MAMBO YA KIJINGA.
MJINI SHULE,MAWAKILI WA SASA HATA KESI SOMETIME WANAONA HAINA MANTIKI NA WATASHINDWA,LAKIN WAPO RADHI WAMPE MTU MOYO ILI WAPIGE HELA
NO ANY ADVICE TO THE SOCIETY TENA.
 
Bado sijaelewa vizuri ntapita tena baadaye..
 
Diamond alisha limaliza ili swala lakini Hamisa akashauriwa na mshauri wa chadema kuwa aende mahakamani awe anapewa 5m hahahaha...
Msije mkamsingizia bashite tena,,,,
HAHAHAAAAA MANGE HUYO


KUJIFANYA ANAJUA KILA KITU KUMBE UHARO MTUPU


NAONA NYUMBU WASHAANZA KUMUCHA TARATIIIIBU MAAANA WANAMTUKANA KTK PAGE ZAKE SANAAA

YANI MWANZO ALIKUA ANA BLOCK,SA HIVI KAUFYATA
 
jaman kweli nipo mbali na ulimwengu !kumbe wamefikishana mahakamani ?? yaan hamisa angekuwa mwanangu au mdogo wangu aisee sijui ningemfanyaje !argggggghhhhhhhh
Yani hata mama yake kwakias kikubwa anahusika
 
Kwahiyo huyo mtoto atatunzwa na nani mkuu?

Fidq inabid amtunze huyo mtoto
Hapo kilichopo mtoto ataendelee kuwa na mama huku Mond akiendelea na huduma ambazo yeye anazimudu. Na siyo zile milioni 5 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom