KISUTU: Wema Sepetu afika na Wakili wake Msando kwenye kesi. Diamond na Hamisa nao wafika Mahakama ya watoto

KISUTU: Wema Sepetu afika na Wakili wake Msando kwenye kesi. Diamond na Hamisa nao wafika Mahakama ya watoto

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
index.jpeg


KISUTU: Leo Februari 8, 2018 msanii Wema Sepetu amafika Mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya bangi. Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili Albert Msando aliyetanganza kumtetea baada ya Wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea msanii huyo.

IMG_20180208_121543.jpg

Wakati huo huo, Msanii wa Muziki nchi Naseeb Abdul(Diamond Platnumz) amefika Mahakamani hapo na Mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto Shauri hilo la matunzo ya mtoto lilifunguliwa na Hamisa Mobetto akiomba Mahakama iamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi

Video



=======
Wema Sepetu kukamatwa na kuhukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya
Yaliyojiri katikati ya mchakato wa upelelezi wa kesi ya wema
Wema kukutwa na kesi ya kujibu
Kuhukumiwa na kuachiwa huru baada ya kulipa faini
 
Hivi Sugu yupo uraiani au bado wanamshikilia kwa usalama wake tu?
 
Ngoswe na wake zake wawili wote cortini,,, zarina anawachora tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom