kiswahili cha graduates!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Nimekutana na hii tafsiri ktk TV ya kenya ta K24. Kuna chuo kikuu kimefanya mahafali yake. Wamesema mahafali ya chuo kikuu ambapo mahafala 5000 wamehitimu. Mnaojua kiswahili, jamani, hivi kiswahili cha graduates ni mahafala? Naomba kujuzwa please!
 
Mie waliniacha hoi wakati wa mazishi ya prof wangari, eti marehemu wanamuita 'mwendazake'. Ama kweli kiswahili kilizaliwa uganda,kikakulia tz kikazikiwa kenya
 
mafala 5000 wanaenda kuharibu nchi sijui wapi huko masikini!
 
Hao ndio wameandaliwa kuja hapa Bongo kushika idara mbalimbali za serikali kwenye EAC, Kwa mjiandae kupambana nao kwenye masalia
 
Neno haliwi na maana hadi ulipe maana. Wao wameamua kuipa maana hiyo. Kama wanaelewana, hakuna tatizo.
 
Mahafali (tukio), sioni tatizo na mahafala, Kiswahili hakipo kwa ajili ya kutoa tafasiri ya kiingereza ama lugha iwayo yote
 
No big deal simply word formation mfano sikia/usikivu/msikivu
 
Hapo sasa wale watoto wa Prf Ballegu watupe majibu
 
Mie waliniacha hoi wakati wa mazishi ya prof wangari, eti marehemu wanamuita 'mwendazake'. Ama kweli kiswahili kilizaliwa uganda,kikakulia tz kikazikiwa kenya

Kweli !!
 
Nimekutana na hii tafsiri ktk TV ya kenya ta K24. Kuna chuo kikuu kimefanya mahafali yake. Wamesema mahafali ya chuo kikuu ambapo mahafala 5000 wamehitimu. Mnaojua kiswahili, jamani, hivi kiswahili cha graduates ni mahafala? Naomba kujuzwa please!
Hata watanzania bado wapo tunaoharibu kiswahili mfano jana nilikuwa naangalia TBC1 Chacha Maginga anasema katika kipindi HICHI nitawaleta habari za michezo za wiki nzima?Je NI HIKI AU NI HICHI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…