Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
graduates = wahitimu
graduates = waliofuzu
Graduates=wahitimu
Na GRADUANDS = ?
Na GRADUANDS = ?
Mie waliniacha hoi wakati wa mazishi ya prof wangari, eti marehemu wanamuita 'mwendazake'. Ama kweli kiswahili kilizaliwa uganda,kikakulia tz kikazikiwa kenya
Hata watanzania bado wapo tunaoharibu kiswahili mfano jana nilikuwa naangalia TBC1 Chacha Maginga anasema katika kipindi HICHI nitawaleta habari za michezo za wiki nzima?Je NI HIKI AU NI HICHI?Nimekutana na hii tafsiri ktk TV ya kenya ta K24. Kuna chuo kikuu kimefanya mahafali yake. Wamesema mahafali ya chuo kikuu ambapo mahafala 5000 wamehitimu. Mnaojua kiswahili, jamani, hivi kiswahili cha graduates ni mahafala? Naomba kujuzwa please!