Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
joo njoo huku makejani masee tuna veveka, mtoi ana ma haga mazee mi nime mnock mbaya,eeeh buda siututembezeage na sisi iyi mneli....
aish....mneli? Utakuwa na swagg za kikora masee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
joo njoo huku makejani masee tuna veveka, mtoi ana ma haga mazee mi nime mnock mbaya,eeeh buda siututembezeage na sisi iyi mneli....
hahaha,kumbe nawewe umo.Woi, aki machalii wa bongo wamezidi kuleta unyee kama watoi
Mtu nguwa, leta kiswahili cha Kenya tupate ladha kamili kamili
dah nilishaanza kusema huyu lazima ni mkenya kumbe...Juu ya nini papaa? Unajua tuko na problemee mingi kufasi ya kusema , lakini tutakutosha tu! Niko hapa ku-jamaa yangu Ndama mutoto ya ng'ombe.
No umekosea, wanasema mtunguyas wakiwa na maana ya 'mtu wangu' sio mtu nguwa bwana. Kwa nyongeza, mtoto anaitwa mtoi na jumamosi wanaiita Sato.
Tiba
na we demu ni mnomaje joo?siukujage pande hi ya kona mbayaaish....mneli? Utakuwa na swagg za kikora masee!
kusare ni kama kusanda,kuachaavijana tusare madawa za kulevya...
hii hadi leo sijajua maana yake nisaidieni
joo njoo huku makejani masee tuna veveka, mtoi ana ma haga mazee mi nime mnock mbaya,eeeh buda siututembezeage na sisi iyi mneli....
kusare ni kama kusanda,kuachaa
aina nurma boii....niaje?PANDE HII NJEVE NIAJE BUDA,yani tuko tunaroll tu hapamtunguyaz niajee
dah nilishaanza kusema huyu lazima ni mkenya kumbe...
wazee wa kujichubuadah nilishaanza kusema huyu lazima ni mkenya kumbe...