- Thread starter
- #21
Kumtaka mtu aongee kiswahili kilinyooka short and clear ni chuki? Vipi wewe?Baada ya kuvimbiwa tumbo naona hadi akili nayo imevimbiwa unashindwa kufikiri vizuri. Hoja ya hovyo iliyojaa chuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtaka mtu aongee kiswahili kilinyooka short and clear ni chuki? Vipi wewe?Baada ya kuvimbiwa tumbo naona hadi akili nayo imevimbiwa unashindwa kufikiri vizuri. Hoja ya hovyo iliyojaa chuki.
Kweli sio chuki. Mi naona Ni kufilisika tu kimawazo kwa sababu wapo wa Tz wanaozumgumza kiswahili na usipokuwa makini unaweza ukatoka kapa usielewe chochote au ukashindwa kabisa kuupata ujumbe uliokusudiwa.Kumtaka mtu aongee kiswahili kilinyooka short and clear ni chuki? Vipi wewe?
Anatuii Anatuita kweli Bwashee.Wachagaaaa mnaitwaaa hukuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangeanza na majitu yasiojua tofauti ya r na l. Haya ata kufungwa yafungwe kabisa.Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) ingilieni KIswahili cha kichaga wakiongea wanapotezea watu muda sana hawawezi ongea sentensi imenyooka hawana kazi au?
Hebu ona hapa mifano michache katika mingi wanavyopotezea watu muda
Mfano
Nikaenda anasema nika nikaenda
Nikala anasema nika nikala
Nikarudi anasema Nika nikarudi
Nikamwambia anasema Nika nikamwambia
Hivi ni ukosefu wa ajira au wateja kwenye biashara au tatizo nini? Mtu anarudia rudia maneno hadi msikilizaji unatamani umtandike rungu kwa kukupotezea muda
Mwenyezi Mungu angetoa idadi ya maneno maximum kuwa ukiongea mfano maneno elfu kumi ukimaliza unakuwa bubu wachaga wangeongoza kwa kuwa mabubu haraka sana kwa maneno wanayoongea kufikia limit
Kama Wanigeria, nchi za Caribbean walivyo na lugha zao tofauti za Kiingereza, Kiswahili ulichosikia ni cha kwetu na ni OG, wala hakifanani na Kiswahili kingine chochote unachokijua.Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) ingilieni KIswahili cha kichaga wakiongea wanapotezea watu muda sana hawawezi ongea sentensi imenyooka hawana kazi au?
Hebu ona hapa mifano michache katika mingi wanavyopotezea watu muda
Mfano
Nikaenda anasema nika nikaenda
Nikala anasema nika nikala
Nikarudi anasema Nika nikarudi
Nikamwambia anasema Nika nikamwambia
Hivi ni ukosefu wa ajira au wateja kwenye biashara au tatizo nini? Mtu anarudia rudia maneno hadi msikilizaji unatamani umtandike rungu kwa kukupotezea muda
Mwenyezi Mungu angetoa idadi ya maneno maximum kuwa ukiongea mfano maneno elfu kumi ukimaliza unakuwa bubu wachaga wangeongoza kwa kuwa mabubu haraka sana kwa maneno wanayoongea kufikia limit
Ongea na wazaramo wenzako achana nasisiBaraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) ingilieni KIswahili cha kichaga wakiongea wanapotezea watu muda sana hawawezi ongea sentensi imenyooka hawana kazi au?
Hebu ona hapa mifano michache katika mingi wanavyopotezea watu muda
Mfano
Nikaenda anasema nika nikaenda
Nikala anasema nika nikala
Nikarudi anasema Nika nikarudi
Nikamwambia anasema Nika nikamwambia
Hivi ni ukosefu wa ajira au wateja kwenye biashara au tatizo nini? Mtu anarudia rudia maneno hadi msikilizaji unatamani umtandike rungu kwa kukupotezea muda
Mwenyezi Mungu angetoa idadi ya maneno maximum kuwa ukiongea mfano maneno elfu kumi ukimaliza unakuwa bubu wachaga wangeongoza kwa kuwa mabubu haraka sana kwa maneno wanayoongea kufikia limit
Ha ha ha 😂Mleta ma mada aseee mboo mbona kama uuu unatu tufokea wa wachaga Kweli 😃
Yaani ume niii nichekeshaMleta ma mada aseee mboo mbona kama uuu unatu tufokea wa wachaga Kweli 😃
Mleta mada anazengua mkuu😁Yaani ume niii nichekesha