KIswahili cha kichaga wakiongea wanapotezea watu muda sana hawawezi ongea sentensi imenyooka hawana kazi au?

Baada ya kuvimbiwa tumbo naona hadi akili nayo imevimbiwa unashindwa kufikiri vizuri. Hoja ya hovyo iliyojaa chuki.
Kumtaka mtu aongee kiswahili kilinyooka short and clear ni chuki? Vipi wewe?
 
Kumtaka mtu aongee kiswahili kilinyooka short and clear ni chuki? Vipi wewe?
Kweli sio chuki. Mi naona Ni kufilisika tu kimawazo kwa sababu wapo wa Tz wanaozumgumza kiswahili na usipokuwa makini unaweza ukatoka kapa usielewe chochote au ukashindwa kabisa kuupata ujumbe uliokusudiwa.
 
BAKITA Fungueni branch uchagani mfunze kiswahili fasaha shule za msingi wakimudu toka msingi huko mbele wataongea vizuri
 
Wangeanza na majitu yasiojua tofauti ya r na l. Haya ata kufungwa yafungwe kabisa.
 
Kama Wanigeria, nchi za Caribbean walivyo na lugha zao tofauti za Kiingereza, Kiswahili ulichosikia ni cha kwetu na ni OG, wala hakifanani na Kiswahili kingine chochote unachokijua.
 
Ongea na wazaramo wenzako achana nasisi
 
Ulilazimishwa kuwasikiliza au Kiherehere chako tu?
 
Hiyo kazi niya mzee "KIFIMBO CHEZA" mzee wa kurekebisha tabia za waboronga ngeli!

BAKITA ajikite kwenye mambo ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…