Nellyonjolo1
Senior Member
- Dec 2, 2012
- 120
- 39
Lugha yoyote ni lazima iwe na dialects. Sasa cha ajabu ni kipi kama Kiswahili cha wakenya kiko hivyo?
Sawa maazeeMkuu naona unamtazamo tofauti kidogo kwani hili ni kama darasa na si kebehi, nadhani itarahisisha kuelewana na wenzetu kwa kujua maana ya maneno yao
2stimu=umeme
stima-gesi