Kiswahili cha Kikenyakenya

Kiswahili cha Kikenyakenya

Lugha yoyote ni lazima iwe na dialects. Sasa cha ajabu ni kipi kama Kiswahili cha wakenya kiko hivyo?

Mkuu naona unamtazamo tofauti kidogo kwani hili ni kama darasa na si kebehi, nadhani itarahisisha kuelewana na wenzetu kwa kujua maana ya maneno yao
 
alicome kwa ofisa . Manzi - mwanamke/demu.
 
chapaa = pesa

chokoraa = mtoto/watoto wa mitaani

base = kijiwe cha wahuni/wavuta bangi/mateja

bibi = mke

kibeti = kipochi (purse)

piga nduru = piga yowe

ndururu = sarafu ya senti tano

mkora = tapeli

serikali za ugatuzi = serikali za mitaa

mlofa = fukara

risavu = vijijini
 
Kuja pande hii..........njoo hapa
Nakwenda kwa nyumba..... Naenda nyumbani
 
Back
Top Bottom