We jamaa umenifanya nicheke balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitambo kidogo kulikuwa na ule msemo mfano mtu anakwambia "acha Jaa". Ikatoka ikaja ile ya "Mwanangu" saizi "Mzee Baba" naona ni kila zama na kauli zake.
sorry wewe Ni mzee Sana au mtu WA makamo?hii Ni slang aka misimu lugha haswa ya vijana so mzee baba haina tofauti Na vyuma vimekaza Ni misimu hiyo "mzee baba" usishangae Na sio kuharibu kiswahili