Kiswahili cha wapi hiki?

Kiswahili cha wapi hiki?

We jamaa umenifanya nicheke balaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kitambo kidogo kulikuwa na ule msemo mfano mtu anakwambia "acha Jaa". Ikatoka ikaja ile ya "Mwanangu" saizi "Mzee Baba" naona ni kila zama na kauli zake.
 
Dah kweli ujana ni kuambukizana maana hii kitu ni wimbi zito kila saa utalisikia hilo neno.
 
Leo nimekutana na kijana, wakati tunaongea ameniambia maneno ambayo Kwa kweli sikumuelewa eti "Mzee Baba" maana yake nini?



Ni ya kitambo sana, hii nimeanza kuisikia 2008

Ila kuna nyingine nimeiona kwenye wall picture kwa jirani yangu imeandikwa

"Asiyeweza kushukuru kwa kidogo ata kikubwa ashukuru"
 
Kumbe kuishi mikoani kunashida, huyu aliyeniambia huu msemo atakuwa ametokea DSM tu
 
Back
Top Bottom