Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kile Kiswahili cha Zuchu, mama yake, rais Mwinyi baba na mtoto, Charles Hilary ndo Kizanzibari?Kizanzibari ni tonation yao mkuu.
Husein mwinyi haongei kizanzibari.Kwa hiyo kile Kiswahili cha Zuchu, mama yake, rais Mwinyi baba na mtoto, Charles Hilary ndo Kizanzibari?
Ahaa... Kopa anaongea kipi ? Na Hussein Mwinyi kipi ? Nifahamishe mkuu.Husein mwinyi haongei kizanzibari.
Hata hadija kopa pia.
Msikilize aboud jumbe utaipata.
Kufahamisha = KufundishaBaadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.
1. Mchirizi (Mfereji)
2. Umenifahamu? (Umenielewa)
3. Markiti (Sokoni).
Edits, from posts in this thread:
4. Skuli (shule)
5. Chogo (kisogo)
6. Tungule (nyanya)
7. Ami (Rafiki)
Tuendeleze na mengineyo
Sijui ila sio ile lafudhi ya kizanzibari.Ahaa... Kopa anaongea kipi ? Na Hussein Mwinyi kipi ? Nifahamishe mkuu.
Kwa hiyo hujui ila sio ya Kizanzibari ?🤔.Sijui ila sio ile lafudhi ya kizanzibari.