1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania.
2. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 ya Tanzania.
Naombeni msaada wanajamvi kipi ni kiswahili cha ukweli kati ya hizo sentensi mbili??
Asante.
Nawasilisha