Kiswahili hiki kimekaaje??

Kiswahili hiki kimekaaje??

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania.
2. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 ya Tanzania.

Naombeni msaada wanajamvi kipi ni kiswahili cha ukweli kati ya hizo sentensi mbili??

Asante.
Nawasilisha
 
1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania.

Hii ndo sahihi! Mara nyingi kwenye wingi tunatumia ZA!
 
Nawasubiria wanajamvi ni msaada wa haraka nawaombeni watalaamu wa lugha!
 
Back
Top Bottom