Hope juma ponda mali atapata wasaa sasa wa kwenda nje [emoji38][emoji38][emoji38]Nimepitia kwenye website ya UN. Nimeona Kiswahili ni kati ya lugha 15 zilizo orodheshwa kwenye website.
Ni hatua nzuri sana kwa lugha adhimu ya kiswahili. Ndugu zangu wakenya acheni kudharau lugha yetu nzuri.
View attachment 594967
UN Live United Nations Web TV - Search Results for ""