Kiswahili in UN list languages (UN TV)

Kiswahili in UN list languages (UN TV)

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Nimepitia kwenye website ya UN. Nimeona Kiswahili ni kati ya lugha 15 zilizo orodheshwa kwenye website.
Ni hatua nzuri sana kwa lugha adhimu ya kiswahili. Ndugu zangu wakenya acheni kudharau lugha yetu nzuri.

upload_2017-9-24_19-28-49.png


UN Live United Nations Web TV - Search Results for ""
 
Viva kiswahili. Viva Magufuli kwa kuenzi kiswahili.
 
Siku hizi Tanzania tunajitambua.
Hata watu wa nje ya afrika wanatujua na kutuelewa.
ona video.

bravo my President JPM.
 

Attachments

Kiswahili ni Lugha ya pili barani Afrika kwa kuzungumzwa zaidi, ikitanguliwa na kiarabu.
 
Back
Top Bottom