NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
😁😁😁😁Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu wataifa lipi nawazaga pengine Kenya.Ila Kenya kiswahili chao kizuri na kina lafidhi ya kuvutia mno.
Utaona mfano "Nini unaweza kwenda vibaya wakati simba uongo na kondoo"
Au "Genge hili la warthog pamoja ili kupambana na mbali ya Duma
Nilidhani ni mimi peke yangu ninayeshangaa kiswahili hicho. Yaani inafikia mahali utadhani ameandika mwehu maana unakosa kabisa mantiki ya kilichoandikwa!!!!! Kama Google translator ndo iko hivyo, wamefeli vibayaMimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu wataifa lipi nawazaga pengine Kenya.Ila Kenya kiswahili chao kizuri na kina lafidhi ya kuvutia mno.
Utaona mfano "Nini unaweza kwenda vibaya wakati simba uongo na kondoo"
Au "Genge hili la warthog pamoja ili kupambana na mbali ya Duma
Hawataki kuajiri wabongo ndio matokeo yake hayo.Ila na wewe uliye download hiyo app ni bonge la punguani.
Lakini pia ni nzuri..ipo smooth na rahisi kutumia..Kwenye baadhi ya tecno inajileta yenyewe. Kuna kipidii ukifungua watsup tu hio inajileta kutaka uidownload unaicancel ukijisahau tu unajikuta umeidownload bila kupenda
huu uzi sio wa siasa mkuu acha chama chetu kijenge nchiItakua labda serikali ya CCM,imekula pesa za kununulia kamusiView attachment 1105953View attachment 1105954View attachment 1105955
kipenda roho hula nyama mbichiHawataki kuajiri wabongo ndio matokeo yake hayo.Ila na wewe uliye download hiyo app ni bonge la punguani.
Machine translator huwa inatafsiri neno kwa neno kutoka lugha ya kwanza kwenda lugha ya pili bila kuangalia upatanisho wa kisarufi na miundo ya sentensi ya lugha ya pili. Ndio unakuta hizo athari.Wanaodili na hiyo opera news hawajui kiswahili kabisa, wanatumua Google translate kutoka kurasa za kiingereza na kupost kwenye ukurasa wao, lakini ile programu huwa uwezo wake wa kutafsiri unamsaidia mtu mwenye aidia na kama unatranslate ili upost unalazimika kuedit kidogo kwa kutumia aidia zako.
japo kuna mengine huwa hayaeleweki kabisa.