Kiswahili kibovu cha Opera News

Kiswahili kibovu cha Opera News

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu wataifa lipi nawazaga pengine Kenya.Ila Kenya kiswahili chao kizuri na kina lafidhi ya kuvutia mno.
Utaona mfano "Nini unaweza kwenda vibaya wakati simba uongo na kondoo"

Au "Genge hili la warthog pamoja ili kupambana na mbali ya Duma
 
Genge hili la warthog pamoja ili kupambana na mbali ya Duma[emoji118][emoji118][emoji118][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu wataifa lipi nawazaga pengine Kenya.Ila Kenya kiswahili chao kizuri na kina lafidhi ya kuvutia mno.
Utaona mfano "Nini unaweza kwenda vibaya wakati simba uongo na kondoo"

Au "Genge hili la warthog pamoja ili kupambana na mbali ya Duma
😁😁😁😁
 
Itakua labda serikali ya CCM,imekula pesa za kununulia kamusi
Screenshot_20190523-215154.jpeg
Screenshot_20190523-215043.jpeg
Screenshot_20190523-215018.jpeg
 
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu wataifa lipi nawazaga pengine Kenya.Ila Kenya kiswahili chao kizuri na kina lafidhi ya kuvutia mno.
Utaona mfano "Nini unaweza kwenda vibaya wakati simba uongo na kondoo"

Au "Genge hili la warthog pamoja ili kupambana na mbali ya Duma
Nilidhani ni mimi peke yangu ninayeshangaa kiswahili hicho. Yaani inafikia mahali utadhani ameandika mwehu maana unakosa kabisa mantiki ya kilichoandikwa!!!!! Kama Google translator ndo iko hivyo, wamefeli vibaya
 
Hawataki kuajiri wabongo ndio matokeo yake hayo.Ila na wewe uliye download hiyo app ni bonge la punguani.
 
nikitaka siku iende vizuri ni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sana huwa nafungua oneni hii tena
"Mbuzi hii got vipaji ajabu yeye tu mahitaji yatokanayo"
 
Kwenye baadhi ya tecno inajileta yenyewe. Kuna kipidii ukifungua watsup tu hio inajileta kutaka uidownload unaicancel ukijisahau tu unajikuta umeidownload bila kupenda
Hawataki kuajiri wabongo ndio matokeo yake hayo.Ila na wewe uliye download hiyo app ni bonge la punguani.
 
Kwenye baadhi ya tecno inajileta yenyewe. Kuna kipidii ukifungua watsup tu hio inajileta kutaka uidownload unaicancel ukijisahau tu unajikuta umeidownload bila kupenda
Lakini pia ni nzuri..ipo smooth na rahisi kutumia..
 
Wanaodili na hiyo opera news hawajui kiswahili kabisa, wanatumua Google translate kutoka kurasa za kiingereza na kupost kwenye ukurasa wao, lakini ile programu huwa uwezo wake wa kutafsiri unamsaidia mtu mwenye aidia na kama unatranslate ili upost unalazimika kuedit kidogo kwa kutumia aidia zako.
japo kuna mengine huwa hayaeleweki kabisa.
 
Machine translator huwa inatafsiri neno kwa neno kutoka lugha ya kwanza kwenda lugha ya pili bila kuangalia upatanisho wa kisarufi na miundo ya sentensi ya lugha ya pili. Ndio unakuta hizo athari.
Mfano
A beautiful girl
Mrembo msichana
 
Back
Top Bottom