dah! huwa nakupaga tano mara zote lakini kwa hili NO!
hatuitaji makabila ya aina yoyote na bora yafe tu. kinachoitajika ni Utanzania
lukindo
Utakuwa umechanganya kati ya kabila na ukabila! Hivi ni vitu viwili tofauti! Kuongea lugha ya kabila lako hadharani sio ukabila, ila kumbagua mtu kwa sababu ya kabila lake huo ndo ukabila!
Tukiwaambia wakenya kuhusu ukabila hatumaanishi kuwa wanaongea vilugha hadharani, La hasha!
Labda hauna exposure na ukabila wa Kenya! Kwa mfano, sio rshisi kwa mkikuyu kenya kuoa/kuolewa na mjaluo! Huu ndio unaguzi,
Pia wakikuyu wengi hawapendi samaki na ukiuliza sababu eti samaki wanaliwa na wajaluo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubaguzi wa hawa watu ni mkubwa kweli kweli na ndo unawaathiri hadi kwenye uchaguzi, hawataki kabila jingine litawale
Kwa mtu ambaye kiswahili ni lugha yake ya kwanza kuna haja gani ya kuitukuza lugha jamii yake asiyoijua.Eti vilugha?Watz mnatisha.Mnadharau asili zenu,sijui mnajidai waarabu?Lugha ya MAMA mnaita vilugha?Nakienzi kiswahili lakini ikiekwa kwenye ratili na lugha nilofunzwa na mama,haitoshi mboga bana.Kwanza ni lugha ya mama Kikuyu afu kimaasai kiswahili,kiingereza na kimeru zinavuta mkia kwa pamoja.
Tayari mnavuna mlichopanda aisee najaribu kufikiria ni sehemu gani ya Kenya ambapo Kikuyu hakitumiki sipati.Hehe.Utajivuniaje kuwa mwafrika wa kweli wakati hufahamu hata walivoamkuana babu zako?Kwa mtu ambaye kiswahili ni lugha yake ya kwanza kuna haja gani ya kuitukuza lugha jamii yake asiyoijua.
Na unakuta huyo mtu anaishi sehemu isiyozungumzwa hiyo lugha na haitumii katika shughuli yeyote.
Wewe ndio huhitaji, mimi kabila langu ndio utambulisho wangu wa kwanza. Naweza kubadili uraia lakini sio kabila.
Sio kuvuna lugha lengo lake kuu ni mawasiliano na kama yanaenda sioni tatizo.Tayari mnavuna mlichopanda aisee najaribu kufikiria ni sehemu gani ya Kenya ambapo Kikuyu hakitumiki sipati.Hehe.Utajivuniaje kuwa mwafrika wa kweli wakati hufahamu hata walivoamkuana babu zako?
Mkuu eka kuhufya wantuh uumu, tatamwia vyedi hata Bible tadaha kuzisoma, amba ne lugha ya kutambikia. MK254
Wewe utajihisi sawa ukiambia watu lugha yako ya asili imekufa,na bado wewe mwenyewe uko hai eti!Acha mzaha wewe!Sio kuvuna lugha lengo lake kuu ni mawasiliano na kama yanaenda sioni tatizo.
Kuna lugha nyingi saana duniani zimekufa.
maskini kilam watanzania wenzako watakuponda wakumalize. Wao wanafuata mkondo uliowekwa kitambo ambapo asili yenu ni kitu cha kuchekwa na kudharauliwa. Umenikumbusha jinsi watu wa msumbiji pia wana hilo kasumba ya kuua na kucheka asili yao hasa ukipatikana ukiongea hizo "vijilugha". Hivi unadhani ni vyema kuyaangamiza historia/tamaduni/lugha za mababu zetu kisa mipaka ya wakoloni?Wewe ndio huhitaji, mimi kabila langu ndio utambulisho wangu wa kwanza. Naweza kubadili uraia lakini sio kabila.
Hapa unapinga mipaka eti ni ya wakoloni, wakati likija suala la kiingereza, unajivunia lugha ya hao wakoloni!maskini kilam watanzania wenzako watakuponda wakumalize. Wao wanafuata mkondo uliowekwa kitambo ambapo asili yenu ni kitu cha kuchekwa na kudharauliwa. Umenikumbusha jinsi watu wa msumbiji pia wana hilo kasumba ya kuua na kucheka asili yao hasa ukipatikana ukiongea hizo "vijilugha". Hivi unadhani ni vyema kuyaangamiza historia/tamaduni/lugha za mababu zetu kisa mipaka ya wakoloni?
Hapa unapinga mipaka eti ni ya wakoloni, wakati likija suala la kiingereza, unajivunia lugha ya hao wakoloni!
Ziko nadharia nyingi kuhusu kiswahili, unayosema ni mojawapo, na zote zinategemeanaHata Kiswahili ni lugha ya mkoloni, biashara ya utumwa ndio imezaa Kiswahili.