lukindo
Utakuwa umechanganya kati ya kabila na ukabila! Hivi ni vitu viwili tofauti! Kuongea lugha ya kabila lako hadharani sio ukabila, ila kumbagua mtu kwa sababu ya kabila lake huo ndo ukabila!
Tukiwaambia wakenya kuhusu ukabila hatumaanishi kuwa wanaongea vilugha hadharani, La hasha!
Labda hauna exposure na ukabila wa Kenya! Kwa mfano, sio rshisi kwa mkikuyu kenya kuoa/kuolewa na mjaluo! Huu ndio unaguzi,
Pia wakikuyu wengi hawapendi samaki na ukiuliza sababu eti samaki wanaliwa na wajaluo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubaguzi wa hawa watu ni mkubwa kweli kweli na ndo unawaathiri hadi kwenye uchaguzi, hawataki kabila jingine litawale