Ndivyo Ilivyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 243
- 4
kuhani yuko sahihi kabisa.........steved umeleta ,ada ya kiswahili na maneno ya kingereza....kama sijakosea kuna sehumu nilishakuambia kuhusu hilo....Ameshasema kiswahili kinampiga chenga, atatumia kiingereza pale atakaposhindwa. Sasa wamlazimisha?
"Seriously, I think there is an over-arabization of Kiswahili from its conception to this day."
Hicho cha wazungu hapo juu amesema amejaribu kutumia kiswahili kashindwa!
Nadhani aweza kuwa ni mwenyeji wa sehemu za ndani ndani za Tanzania ambako wanaongea kiingereza!
Mleta mada ya kiswahili kaanza upupu wa kikoloni.....XP... unisamehe mkuu. The chicken has just arrived at a once dormant roost..
kuhani yuko sahihi kabisa.........steved umeleta ,ada ya kiswahili na maneno ya kingereza....kama sijakosea kuna sehumu nilishakuambia kuhusu hilo....
.....kuhani kasema kweli......nami nasema wabongo ni malimbukeni.....ukikutana nao yes yes noo nyingi eti kasahau kiswahili......
Mleta mada ya kiswahili kaanza upupu wa kikoloni.....
Na wewe "ada" ndio nini? Kwani tuko shuleni hapa? Ebo!
Na "sehumu" ni neno la lugha gani? Ki-Yo Yo?
Safari ijayo hakikisha unapomkosoa mwenzako kuhusu lugha, ya kwako iko sahihi.....
Mtowa maoni haelewe hasa chimbuo la kiswahili pia hakuwahi kubahatika na kuelezwa kuwa hicho kiswahili anachokiongelea hakikuwa kinaongelea na kila sehemu hapa TANZANIA mara ya julias kuwa Rais ndio alilazimisha hata wale waliokuwa hawaongei kiswahili wafanye hivyo pili ni kweli kiswahili kimetokana na maneno mengi ya kiarab ukiongelea kibatu sijuwi wangapi nchi hii wanaongelea hicho kibantu jengine kumekuwa na mbinu za makusudi kukiharibu kiswahili kisingizio eti kina lingana na kiarabu ndio leo utakuta kunapandikizwa maneno ya makabila ili kuondowa yale yanoyofanana na kiarabu

tutaendeleaje kujadili mada wakati tabia inayopingwa ni ya kilimbukeni na anaepinga anajua, anakubali, kwamba yeye ni mfano wa kitabuni wa saratani ya ulimbukeni?
Tutakuwa wanafiki kenyekenye.
Anza upya!