Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
- Thread starter
- #21
Shaban robert aliwahi kusema"msema kweli hukimbiwa na rafiki zake.nikipatwa na ajali kama hiyo,siwezi kuikana kweli na kuchelea upweke wa kitambo unaotarajiwa kutokea baada ya kushindwa kwa uongo".wadau niliyoyasema hapo juu ni ukweli mtupu lakini nadhan tatizo ni muda.huwenda labda cku za usoni mkaelewa.huwezi tu kulenga ujumbe tu na ukatumbilia mbali njia ya kufikisha ujumbe huo ambayo ni lugha.lugha ni nyenzo ya kufikisha ujumbe,hvyo lazima tutumie nyenzo sahihi ili kumfanya msikilizaji apate ujumbe sahihi.nasisitiza tena SIKATAI KUCHANGA LUGHA,ILA IFANYIKE HVYO IKIBIDI,na kama yapo maneno yanayoweza kutumika bila kuchanganya lugha basi hilo ni bora zaidi.tuache kasumba ya kutawaliwa kifikra.FIKRA SAHIHI HUJA KWA LUGHA SAHIHI.