Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utani wa mtaani tu. Lakini kiuhalisia, wataalamu wanasema kilizaliwa pwani ya Kenya. Halafu kikaenea hadi Unguja. Ni kama Wamarekani wangine wanavyoshindwa kuelewa kwamba Kiingereza hakikuzaliwa Marekani.
Hahahaaaa lazima utakuwa mkenya wewe. Embu tuambie hao wataalamu waliokupa huo uhalisia ni wakina nani?
kiswahili kinafuata talatbu zfuatazo.kiswahili huzaliwa, hukua, kulithiwa, na mwisho hufaMimi MTZ kabisa kwa taarifa yako. Na hii ni taabu moja uliyo nayo. Badala ya kuulizia ushahidi, unakimbilia kusema "wewe ni Mkenya." Umejikita kwenye "ad hominem" argument, fallacy ambayo inajulikana kabisa. Halafu unataka kujua walionipa utaalamu huko. Sasa nikikutajia wataalamu wa mbali utaanza malalamiko mengine. Lakini soma maandiko ya wataalamu wa Kibongo kabisa kama akina Massamba na utaona hayo. Ushahidi upo wa kiisimu na kiakiolojia. Kama utaona unaweza, basi nitakupa marejeleo ya wataalamu wa kutoka nje ya Bongo pia.
😳😳😳😳😳kiswahili kinafuata talatbu zfuatazo.kiswahili huzaliwa, hukua, kulithiwa, na mwisho hufa