Kiswahili kinakua au kinakufa?

Kiswahili kinakua au kinakufa?

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Kiswahili kilizaliwa unguja, kikakulia Tanganyika, kikafia Kenya, kikazikwa Uganda, Je kiswahili kinakua au kinakufa?

Tujadili……………!!
 
Kiswahili bado kinaishi Uganda kuna Kiganda ndio lugha yao kuu
 
kikazikwa uganda?!.kilikufa lini?!.

mleta mada soma kwanza hapa...." Swahili speakers exceeds 140 million. Swahili serves as a national or official language of four nations: Tanzania, Kenya,
Uganda and the Democratic Republic of the
Congo. It is also one of the official
languages of the African Union....." en.m.wikipedia.org/wiki/Swahili_language
 
Ni utani wa mtaani tu. Lakini kiuhalisia, wataalamu wanasema kilizaliwa pwani ya Kenya. Halafu kikaenea hadi Unguja. Ni kama Wamarekani wangine wanavyoshindwa kuelewa kwamba Kiingereza hakikuzaliwa Marekani.
 
Hahahaaaa lazima utakuwa mkenya wewe.Embu tuambie hao wataalamu waliokupa huo uhalisia ni wakina nani?
 
Kiswahili bado kipo kaka ila sisi ndio tunaki kitokomeza kwa kufagilia lugha za kigeni. Nchi za wenzentu wanahamu sana ya kufamu lugha ya kiswahili, south africa, zambia, zimbabwe na sehemu nyingine nyingi.

Ila ndio hivyo utafanyaje tutaishia kubadili na kusema tanzania national language is English...hii itatuaibisha
 
Mimi MTZ kabisa kwa taarifa yako. Na hii ni taabu moja uliyo nayo. Badala ya kuulizia ushahidi, unakimbilia kusema "wewe ni Mkenya." Umejikita kwenye "ad hominem" argument, fallacy ambayo inajulikana kabisa. Halafu unataka kujua walionipa utaalamu huko. Sasa nikikutajia wataalamu wa mbali utaanza malalamiko mengine. Lakini soma maandiko ya wataalamu wa Kibongo kabisa kama akina Massamba na utaona hayo. Ushahidi upo wa kiisimu na kiakiolojia. Kama utaona unaweza, basi nitakupa marejeleo ya wataalamu wa kutoka nje ya Bongo pia.

Hahahaaaa lazima utakuwa mkenya wewe. Embu tuambie hao wataalamu waliokupa huo uhalisia ni wakina nani?
 
Mimi MTZ kabisa kwa taarifa yako. Na hii ni taabu moja uliyo nayo. Badala ya kuulizia ushahidi, unakimbilia kusema "wewe ni Mkenya." Umejikita kwenye "ad hominem" argument, fallacy ambayo inajulikana kabisa. Halafu unataka kujua walionipa utaalamu huko. Sasa nikikutajia wataalamu wa mbali utaanza malalamiko mengine. Lakini soma maandiko ya wataalamu wa Kibongo kabisa kama akina Massamba na utaona hayo. Ushahidi upo wa kiisimu na kiakiolojia. Kama utaona unaweza, basi nitakupa marejeleo ya wataalamu wa kutoka nje ya Bongo pia.
kiswahili kinafuata talatbu zfuatazo.kiswahili huzaliwa, hukua, kulithiwa, na mwisho hufa
 
Back
Top Bottom