Kiswahili kinazidi kuharibiwa

Hiyo lugha ilipendekezwa na nani? Na ilipendekezwa na nani na kwa nini?
Maarifa mengi hapa Duniani na ulimwenguni Kwa ujumla yapo katika lugha ya kingereza....

Lugha ya kingereza ndio lugha mama hapa ulimwenguni

NB
NI BORA SOMO LA PHYSICS LIWE KWA LUGHA YA KIINGEREZA.....UKITAFSIRI PHYISCS KWA KISWAHILI UNALIFANYA SOMO KUA GUMU ZAIDI..
 
Hapo sawa, kiswahili ibakie lugha ya mitaani
 
Umeona eenh! Watu wengi wanakosa nafasi za kazi kwa mambo hayo hayo, wengine kuaminika nje ya nchi ni shida sababu ya kiswahili.

Imagine hata ukipata scholarship baadhi ya nchi bado utatakiwa kufanya mitihani ya English proficiency. Hapo hata interview bado.

Mimi mawazo yangu hata mtaani ingekuwa kiingereza labda la kilugha basi. Ingekuwa English mwanzo mwisho.

Tunang'ang'ana na kiswahili ambacho huwezi hata kukitumia kutengeneza hata toy la watoto kuchezea.
 
Hapa sasa tunaenda sawa.
 
Ingekuwa katika alfabeti za Kiarabu kama zamani wakina Maghayo wangekuwa wanazungumza Kiswahili safi kabisa..
 
Atakuja mtu mmoja atakwambia shuleni ulienda kusomea ujinga ☺️☺️ maana hujui faida za kiswahili katika taifa lako 😊😊natania tu...

Peace & Love ✌️
Bila kiswahili tungekua tunatumia lugha gani kuwasiliana!?..au ndiyo Kama Uganda,tangazo la serikali sharti litoke kwa lugha 14 ili ujumbe ufike kwa wote
 
Acha ujinga,wajerumani na wafaransa wanasoma physics kwa kiingereza!?..wajapan,wachina!?
 
Hasa hizi local media ni pumbvu kabisa zinaajiri vilaza wasiojua hata kiswahili kilichowakuza..
 
Katika misemo mipya hamna neno ninalo lichukia kama neno maokoto! Sijui lilianzia wapi na sababu ya kuwepo kwake ninini
 
Acha ujinga,wajerumani na wafaransa wanasoma physics kwa kiingereza!?..wajapan,wachina!?
Mjinga Babu yako alie mzaa babu Ako mzaa babaako...

Utafanabisha kifaransa , kihispania, kijerumani, kichina ,kijapani, kidachi na lugha yako ya kiswahili?? Are you serious 😣😣 au ndio unajifunza kutumia smartphone??

Brain 🧠 your eyes 👀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…