Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Maarifa mengi hapa Duniani na ulimwenguni Kwa ujumla yapo katika lugha ya kingereza....Hiyo lugha ilipendekezwa na nani? Na ilipendekezwa na nani na kwa nini?
Lugha ya kingereza ndio lugha mama hapa ulimwenguni
NB
NI BORA SOMO LA PHYSICS LIWE KWA LUGHA YA KIINGEREZA.....UKITAFSIRI PHYISCS KWA KISWAHILI UNALIFANYA SOMO KUA GUMU ZAIDI..