Kiswahili kitohoe Kihehe "Semjane" na "Mwamjane""

Kiswahili kitohoe Kihehe "Semjane" na "Mwamjane""

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Wahehe kama Wafaransa, Wahispania na Waitaliano wana lugha nzuri inaayowakilisha jinsia zote yaani "Ke" na "Me" au musculine na femine

Kiswahili kimeishiwa lugha ya kutofautisha jinsia mfano mjane mwanamke na mwanaume.

Mfano Wahehe wana Sekitosi na Mwakitosi kuonyesha huyu ni ke na yule ni me.


Wakati Kiswahili kimetohoa maneno toka lugha nyngine asili mfano : Kungatuka (Wazanaki), Ndafu/ kishoiya (Wachagga), jazba (kiarabu), nk, hakitatohoa kutoka kihehe.
 

Attachments

  • gender.png
    gender.png
    8.2 KB · Views: 77
Back
Top Bottom