Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla.
Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi nzuri ya kiingereza kuliko mataifa mengi ya kiafrika yanayozungunza English,
Tena kungekuwa na fursa nyingi kuliko sasa kama umewahi kuchunguza mataifa mengi wanayozungumza kiingereza wazungu huwa Wana antention nayo kuliko Yale yasiyo zungumza lugha hiyo lakin pia hata Yale mataifa yasiyozungumza kiingereza yanapokuja kwenye taifa letu bado unakuta wanaongea kiingereza tena utazani ni waingereza.
Tunamsifia mwalimu Kwa kuliungalinisha ili taifa Kwa luga moja lakin Mimi nasema ilikuwa ni Kwa maslahi yake binafsi kwanini hakutumia kiingereza kutuunganisha ,je umewahi kufikiria kwanini wananchi wa taifa hili ni washamba alafu wanauelewa mdogo wa mambo ukiachillia mbali wale waliosoma soma kidogo ni kwasababu hata sources nyingi zinazofungua uelewa wa watu bado zimeandikwa Kwa kiingereza.MI NA HITIMISHA KWA KUSEMA ILIKUWA MISTAKE KUBWA MNO.