joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Uganda to adopt Kiswahili as national language.
The cabinet has finalized plans to adopt Kiswahili as a national language in Uganda. According to the State Minister of
Jumatatu ijayo ya tarehe 9/9/2019, bunge la Uganda litapitisha azimio la kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya taifa la Uganda, sasa hivi Uganda haina lugha rasmi ya taifa, imekua ikitumia lugha za makabila na kiingereza kwa ajili ya mawasiliano.
Hii ni ushindi mkubwa sana kwa Tanzania, hasa kwa rais Magufuli ambaye tangu kuingia madarakani, amegoma kabisa kutumia na kukikumbatia kiingereza katika hotuba zake, pia juhudi zake za kukipigia debe Kiswahili.
Ikumbukwe kwamba, ni katika kipindi cha uongozi wake kama mwenyekiti wa EAC ndio kiswahili kilikubalika kuwa miongoni mwa lugha rasmi ya EAC, katika uongozi wake, Kiswahili kimekuwa lugha rasmi ya SADC, na ni yeye ndiye alitezishawishi nchi za Rwanda, Afrika ya kusini, Namibia na Ethiopia kuanza kufundisha somo la Kiswahili, mashuleni na ktk vyuo vikuu.