Kiswahili kuwa lugha ya Taifa la Uganda,

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Jumatatu ijayo ya tarehe 9/9/2019, bunge la Uganda litapitisha azimio la kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya taifa la Uganda, sasa hivi Uganda haina lugha rasmi ya taifa, imekua ikitumia lugha za makabila na kiingereza kwa ajili ya mawasiliano.

Hii ni ushindi mkubwa sana kwa Tanzania, hasa kwa rais Magufuli ambaye tangu kuingia madarakani, amegoma kabisa kutumia na kukikumbatia kiingereza katika hotuba zake, pia juhudi zake za kukipigia debe Kiswahili.

Ikumbukwe kwamba, ni katika kipindi cha uongozi wake kama mwenyekiti wa EAC ndio kiswahili kilikubalika kuwa miongoni mwa lugha rasmi ya EAC, katika uongozi wake, Kiswahili kimekuwa lugha rasmi ya SADC, na ni yeye ndiye alitezishawishi nchi za Rwanda, Afrika ya kusini, Namibia na Ethiopia kuanza kufundisha somo la Kiswahili, mashuleni na ktk vyuo vikuu.
 
Sioni mchango wa Magufuli kukipaisha kiswahili hapa, manake hata YouTube utawaona watu wana comments kwenye nyimbo za diamond platinum kuwa hawafahamu kiswahili lakini kizuri. Kiswahili kinapendwa kipo smooth sio kama lugha nyengine wakiongea kama wanagombana.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Jumatatu ijayo ya tarehe 9/9/2019, bunge la Uganda litapitisha azimio la kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya taifa la Uganda, sasa hivi Uganda haina lugha rasmi ya taifa, imekua ikitumia lugha za makabila na kiingereza kwa ajili ya mawasiliano.

Hii ni ushindi mkubwa sana kwa Tanzania, hasa kwa rais Magufuli ambaye tangu kuingia madarakani, amegoma kabisa kutumia na kukikumbatia kiingereza katika hotuba zake, pia juhudi zake za kukipigia debe Kiswahili.

Ikumbukwe kwamba, ni katika kipindi cha uongozi wake kama mwenyekiti wa EAC ndio kiswahili kilikubalika kuwa miongoni mwa lugha rasmi ya EAC, katika uongozi wake, Kiswahili kimekuwa lugha rasmi ya SADC, na ni yeye ndiye alitezishawishi nchi za Rwanda, Afrika ya kusini, Namibia na Ethiopia kuanza kufundisha somo la Kiswahili, mashuleni na ktk vyuo vikuu.
Safi sana, watembee kifua mbere
 
Back
Top Bottom