Kiswahili kwa maendeleo yetu

Kiswahili kwa maendeleo yetu

yahayabaidu

Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
17
Reaction score
5
Najivunia sana kusoma somo la Kiswahili katika ngazi ya elimu ya juu, tunakidharau Kiswahili lakini kiukweli hatukijui. Kama wewe unakijua vizuri Kiswahili naomba unijibu swali hili dogo, mobile phone inaitwaje kwa Kiswahili halisi?
 
mobile phone means a portable phone "easy to be carried" or "moved"
 
Back
Top Bottom