Kiswahili Kwenye msiba Tarime:

Kiswahili Kwenye msiba Tarime:

sapiesia

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
32
Reaction score
12
Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo mocha tu. mama Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra mtu mmocha,reo kafirwa mama Rhobi, kesho nitafirwa Mimi,kesho kutwa utafirwa wew,kila mtu rasima afirwe tu!
 
kweli kuna haja ya kukurudisha mirembe yani umehara uharo unaonuka na kuanza kujipaka mwenyewe mh! Inabidi tukurudishe mirembe
 
Hongera kwa kutukumbusha lugha za ndugu zetu walio dominate jeshi letu (wenyewe wanaita cheshi retu)
 
Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo mocha tu. mama Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra mtu mmocha,reo kafirwa mama Rhobi, kesho nitafirwa Mimi,kesho kutwa utafirwa wew,kila mtu rasima afirwe tu!

mwingine alikunywa uji uliopikwa na Mama Robhi ulikuwa mtamu lakini wa moto ndipo akaanza kuusifia akasema:
Uchi wa mama Robhi wa moto harafu ni mutamu chamani.....................
 
hiyo imetokelezea nimeipenda kama namuona vile anavyoongea.......
 
felli, haa haaa nami kama namuona, amekasirikaaaa mweusiiiii huku machozi yakimtoka haaa haa haa,,
 
"Bwana yesu asifiwe" wanatamkaje ili neno. Andika upya kama nimekosea.!
 
Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo mocha tu. mama Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra mtu mmocha,reo kafirwa mama Rhobi, kesho nitafirwa Mimi,kesho kutwa utafirwa wew,kila mtu rasima afirwe tu!

Tuambie kwanza wewe ni kabila gani, japo tunajua mkani wa mkurya ni MNYIRAMBA TU, ndie mwenye kibari hicho cha kuwatania, je wewe ni mnyiramba ? ? ? ili wakupe vidande vyako
 
Chadtema ina mupango wa kuongesa machimbo .
 
Back
Top Bottom