CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Naenda kwa kuwa Wafanyakazi wenzangu wengi wanatokea huko.
Jibu lake ni Roketi Inaporuka
Kitendawiliii...
Akiondoka, Mzungu,
Akirudi, Mwanajeshi.
hahaa,mbna ukila sembe hulalamik
Nikija utanipa cha AraChuga?
Poa.
Jibu lake niii....
Chapatiii.
mimi tena...? wewe njoo tu...utavipata vya kutosha...Ila mhmmm!!! ila ila hilo jibu lako la chapati naona kama vile umenipeleka choo cha kike. embu nifafanulie hilo jibu lako.
chapati kabla haijachomwa huwa ni ngano nyeupe sawa na mzungu
na ikishachomwa huwa na mabaka mabaka sawa na kombati za jeshi.
Young_Master umenipata?
Mhmmm!!! Haya bwana.
kitendawiliii....huku bonde na huku bonde katikati mfereji
Mbona kama huamini?
Haya jibu kingine hiko.
kiko weapi hicho kingine?
Nina mti wangu mreefu,hauna tawi hata moja.
Haya jibu.
Sio uume kweli huo...???
Kitendawiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!