Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Naenda kwa kuwa Wafanyakazi wenzangu wengi wanatokea huko.

Jibu lake ni Roketi Inaporuka

Kitendawiliii...
Akiondoka, Mzungu,
Akirudi, Mwanajeshi.

Madame B, hv we ni mwalimu ama? mbna vitendawili vyako vgm hvo? haya ngoja njaribu. kinyonga. . . .
 
Last edited by a moderator:
duh,ama kweli nimeamin nlikuwaga kilaza kwny somo la kiswahili Madame B nenda Chamwino!
 
Last edited by a moderator:
Nikija utanipa cha AraChuga?
Poa.
Jibu lake niii....
Chapatiii.

mimi tena...? wewe njoo tu...utavipata vya kutosha...Ila mhmmm!!! ila ila hilo jibu lako la chapati naona kama vile umenipeleka choo cha kike. embu nifafanulie hilo jibu lako.
 
Kitendawiliii...
Nina mti wangu mreefu,
lakini hauna tawi hata moja.
 
mimi tena...? wewe njoo tu...utavipata vya kutosha...Ila mhmmm!!! ila ila hilo jibu lako la chapati naona kama vile umenipeleka choo cha kike. embu nifafanulie hilo jibu lako.

chapati kabla haijachomwa huwa ni ngano nyeupe sawa na mzungu
na ikishachomwa huwa na mabaka mabaka sawa na kombati za jeshi.
Young_Master umenipata?
 
Last edited by a moderator:
Kitendawiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom