Madame B asante kwa kukubali ombi langu...officially sasa wewe ni mwalimu wangu. Sasa mimi sio 'dhaifu' hadi nimkwaze mwalimu wangu....tutaenda na biti tu mwalimHaya Mwanafunzi wangu.
Ila utaweza kuvumilia mikikimikiki yangu ninapokusogelea na kukuinamia ili tuelekezane?
Naogopa usije 'Tangaza nia' Kaizer!!
Madame B asante kwa kukubali ombi langu...officially sasa wewe ni mwalimu wangu. Sasa mimi sio 'dhaifu' hadi nimkwaze mwalimu wangu....tutaenda na biti tu mwalim
Haya leta sera sasa,
nitaubamba tu 'Udhaifu'wako
Ngoja niende ubaoni.
Ila 'kukuchapa'ruksa.
Si unajua 'mboko'ndo mpango mzima?
charminglady, kwani ilikuwaje hebu tiririka apa....
enhee.....mfungwa hachagu gereza, enhe sasa leo somo linahusu nini mwalimu wangu?
charminglady, kwani ilikuwaje hebu tiririka apa....
We,
akizidiwa lazima achague gereza wewe.
Funguka sasa,
Ila tunaenda Kinadharia vitakavyoambatana na vitendo.
Uko 'tayari'
Kitendawiliiiiiiiiiiiiiiiii
Maiti inazungumzai la waliyoibeba wamenyama kimya!
Nikupe mji charminglady?
nipe mji bt mji wa kueleka!
Kwani jibu lake ni tusi?