Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Haya Mwanafunzi wangu.
Ila utaweza kuvumilia mikikimikiki yangu ninapokusogelea na kukuinamia ili tuelekezane?
Naogopa usije 'Tangaza nia' Kaizer!!
Madame B asante kwa kukubali ombi langu...officially sasa wewe ni mwalimu wangu. Sasa mimi sio 'dhaifu' hadi nimkwaze mwalimu wangu....tutaenda na biti tu mwalim
 
Last edited by a moderator:
Madame B asante kwa kukubali ombi langu...officially sasa wewe ni mwalimu wangu. Sasa mimi sio 'dhaifu' hadi nimkwaze mwalimu wangu....tutaenda na biti tu mwalim

Haya leta sera sasa,
nitaubamba tu 'Udhaifu'wako
Ngoja niende ubaoni.
Ila 'kukuchapa'ruksa.
Si unajua 'mboko'ndo mpango mzima?
 
Last edited by a moderator:
Haya leta sera sasa,
nitaubamba tu 'Udhaifu'wako
Ngoja niende ubaoni.
Ila 'kukuchapa'ruksa.
Si unajua 'mboko'ndo mpango mzima?

enhee.....mfungwa hachagu gereza, enhe sasa leo somo linahusu nini mwalimu wangu?
 
enhee.....mfungwa hachagu gereza, enhe sasa leo somo linahusu nini mwalimu wangu?

We,
akizidiwa lazima achague gereza wewe.
Funguka sasa,
Ila tunaenda Kinadharia vitakavyoambatana na vitendo.
Uko 'tayari'
 
C mwanafunzi kumzimikia mwalimu Kaizer & Madame B afu nawapa kitendaliiiiiiiiiiii
Nikipiga mwanangu watu hucheza!
 
Last edited by a moderator:
We,
akizidiwa lazima achague gereza wewe.
Funguka sasa,
Ila tunaenda Kinadharia vitakavyoambatana na vitendo.
Uko 'tayari'

nipo tayariiiiiiiiiiii kwa praktiko na kinadharia
 
Kitendawiliiiiiiiiiiiiiiiii

Maiti inazungumzai la waliyoibeba wamenyama kimya!
 
Back
Top Bottom