Spalulu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 284
- 146
Jibu la kitendawili cha kwanza ni chura means kiangazi anakuwaga kimya but masika anatabia ya kupiga zile kelele zake,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la kitendawili cha kwanza ni chura means kiangazi anakuwaga kimya but masika anatabia ya kupiga zile kelele zake,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine hizi: Hammo hammo = ndimo mumwamoHujaza Kibaba
Kwa Msala Upitao
Naogopa kubahatisha
Hakuchagulii Tusi
Utayaona ya Firauni
Hulia Kivulini
Kwa Msala upitao
Halikuli ukakwisha
Huota Matende
Naogopa kubahatisha
Halimpati Mwewe
Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.Let bygones be bygones
Kiswahili chake???
Also: Many hands make light work.[h=3]"No man is an island."-kidole kimoja hakivunji chawa/umoja ni nguvu/rasilimali ya mnyonge ni umoja[/h]
Ngoja ngoja huumiza matumbo.Linalowekezana leo lisingoje kesho.
😀.Nyingine hizi: Hammo hammo = ndimo mumwamo
Akunyimae mbaazi= anakuepushia mashuzi
Na piga domo?Ningependa sana kujikumbusha hizi..na sina uhahika kama bado zinafundishwa shule zetu za msingi!!
Amevaa mawani =amelewa
Amekula chumvi nyingi = amezeeka
Mgaa gaa mpwa hali wali mkavu
Kipya kinyemi ...
Kitanda cha uvunguni sharti uiname
Wenye kumbukumbu za Nahau, Misemo na Methali za kiswahili (hata vitendawili) naomba michango yenu
KARIBUNI SANA!!
Hii ganda la mua la jana chungu kaona kivuno mimi sjui inamaanisha nini,naomba mnifasirie sababu nimeiona na kuisika muda mrefu lakini sijui chungu ninani na kivuno ninini,sawa na ridhiki mafungu saba,mi nafuatisha semi tu kakini sjui maana.Nisaidieni jamani!