Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Hujaza Kibaba



Kwa Msala Upitao



Naogopa kubahatisha


Hakuchagulii Tusi



Utayaona ya Firauni



Hulia Kivulini



Kwa Msala upitao


Halikuli ukakwisha



Huota Matende



Naogopa kubahatisha



Halimpati Mwewe
Nyingine hizi: Hammo hammo = ndimo mumwamo
Akunyimae mbaazi= anakuepushia mashuzi
 
Mwenda mbizi nchi kavu huuchunua usowe : Ukitatua tatizo kwa njia ambazo si mujarabu huwezi kupata suluhisho lake. (If you solve the problem in a wrong way, you cannot get a proper solution).

Paka hashibi kwa wali matilabaye ni panya: Hata umpe nini mtu, kama hujakidhi matarajio yake ni kazi bure. ( A cat is satisfied by eating rats, not rice).
 
A bird in hand is worth two in the bush: Kidogo chako sio kikubwa cha mwenzako.
 
loh miaka hiyo jioni watu wazima tunakaa chini ya mti na kupimana ubabe katika uswahili yan nahau,methal,vitendawili na mafumbo huku watoto wao wakiwa wasikilizaji maana mfumo ulikuwa sio rafiki hivyo hawakutakiwa kuchangia lolote zaid ya kusikiliza tuu....yan kuna muda ilikuwa unapatwa na fedheha sana maana unakuta kila unaloulizwa hujui wakat watoto na mkeo wakiwa pembeni,nilikuwa Tanangozi kipindi hiki
 
haya ni madini ya ukweli sana natamani nirudi shule nikayatumie
 
Tafadhali wanajukwaa naomba mnisaidie jibu na maana ya kitendawili hiki KILA MTU HUMWABUDU APITAPO
 
Na piga domo?
 

Chungu ni sisimizi (nyenyere), kivuno ni mavuno ....
Ukila mua ukatupa na sisimizi akilila kesho utamu ataupata na wala hatijua Kama limeliwa .... Kitu akikitumia mwenzako na wewe ukakipata na kuanza kujisifia kwacho, ndipo aghlabu husemwa msemo huo .....
Ni mchango wako kwako ndugu mchajikobe
 
Naomba mnisaidieni nini ni maana methalikulia kwake ni kicheko kwetu
 
Tuienzi lugha yetu ya Kiswahili,

Andika methali, nahau au kitendawili Chochote hapa wengine watakupa jibu.


--Mgaa gaa na upwa................
--samaki mkunje...............
--simba mwenda pole............
--Aliye juu.............
_Anadundika kama mpira............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…