Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kitendawilii.....

1. Anajihami bila silaha. Jibu lake ni nini?
2. Hesabu yake haina faida. Jibu lake ni nini?
 
Hongera kwa kazi nzuri mkuu wangu. Naomba kama hiyo kazi bado unayo nitumie PM niipitie ili tusaidiane kuiweka sawa. Asante.
 
^The brains of being told, add yours^

Akili za kuambiwa…


^The arguments are not beaten by a club; arguments are answered by arguments^

Hoja hazipigwi rungu; hoja hujibiwa kwa hoja
 
Jamani me naomba mnisaidie kutafsiri kwenda lugha ya kiingereza kwa tafsiri halali

"siwezi chezea shilingi katika tundu la choo"

Na

"Huruma isizidi uwezo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…