Kitendawili........... kengele mbili zimeungana na fimbo
Mwiba Jakubumba , kitendawiliiiiiii....
Namkata mwenyewe,nalia mwenyewe...
tendawiliii!!!!!!!!!!!!
Ni kipofu ila hakosei njia ya kuelekea kwake.
Mdomo.
Kitendawili..!!
"Babu mwenye Ndui ananing'inia mtini"
kulikoni?mbona umekimbilia kutoa mji...hata hujajaribuYalaa. nakupa mji wa moshi.
kitendawiliiiii...ukitaka kulila, sharti utengeneze shimo...utie kidole...kisha ulichokonoe!!
nimelike lakini umekosaaaa....Dafuuuu.
Afu Nipeni mji,
niwategulie changu.
watu8 said:kitendawiliii....huku bonde na huku bonde katikati mfereji
Yalaa. nakupa mji wa moshi.
nimelike lakini umekosaaaa....
lol...nilitaka useme passion!
sitaki mji.
nakupa mji...nenda USHIROMBOO
Moshi naenda...
Jibu ni Makalio, hiki kitendawili kilikua famous sana utotoni...
Kitendawiliiiiiiiii.......
"Babu akojoapo hupiga kelele..."
Popoo mbili zavuka mto charminglady